Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Sisi tulisoma kimyakimya na kwenda kuchekea kwenye uzi wetu tuliouteka kwa muosha masufuria watu wanakuja mbona hatuwaelewi hatuwaoni kule tunawaambia tunawakwaza watu na chit chat zetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unafikiriii mm sikumbukiiiii....
Wacha tupendaneee
Yeeeyeee musaza wanjeee ahwo!Moneytalk i love youuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
T nae kala nae alikula kiporoHizo mambo za Jana usiku ujue nilishawekewa
Mh! Mtu Wa mungu huwa hanaga mambo ya kususasusaKuweka sala si umeona mumeo alivyomjibu moneytalk
Kumbe kuna mainjinia humuNiaje engineer
[emoji57] [emoji57] [emoji57] atasubiri sanaEwaaaaa hapo sawa shemela nimekusamehe mngemsubiri mama mchuchu mpaka arudi sijui lini mama anarudi mana aliniambia nimwambie binamu obe na yeye amnunulie galaxy ili arudi kapuku
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tehe tehe tehe tehe, mtawa mtarajiwa. Hivi vichekesho kuendelea kuvipata andika *#06*12wasiojulikana.jf#
[emoji57]Aisee watakula jeuri yao umewaponza siwawekei tena wamsubiri mama akirudi tena mwakani
Hatokuacha ila a na yy atalipiza ili iwe ngoma drooIla wewe na majungu
Nshakwambia ata kwa mfano akinifumania hawez niacha
Unauliza jibu ujue[emoji23] [emoji23]Kwahiyo mnaombea kumbe nikuje kuachika eenh
[emoji15]Wewe una kesi na mm kabla sijasema ulikopeleka galaxy yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambie arudi nimeshamfanyia order ya tecno new version inakaa na chaji masaaa 23
[emoji1] [emoji1] ahwoo nikwene gaJamaniii mm kila nikisoma text zenu nakua kama nasikia sauti zenu vp nanyi mwasikia?
Tupo unaendleajeMpo ninyi watu?
Wapi huko?!Mtumee roho yangu, hili sitakubaliana nalo kwakwel labda nianze kuona mabadiliko na kule nisimuone kabisa
Wapi huko?!Mtumee roho yangu, hili sitakubaliana nalo kwakwel labda nianze kuona mabadiliko na kule nisimuone kabisa