Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Woiiiii maisha yenyewe mafupi hayaKwa step
Hapana jaman nitakufwa nae tu mimi baba d wanguNdio habari hyo
HahahaaaWoiiiii maisha yenyewe mafupi haya
Fanya nije mbezi ya kimara basi.
Tatizo ni pale unapotangulia kufa wewe..Hapana jaman nitakufwa nae tu mimi baba d wangu


Itabidi anifate tu mimiTatizo ni pale unapotangulia kufa wewe..
So yeye atajiua ama?
yaan
Najua lakini hivyo unavyosema haiwezekani ujue acha kunijazaWalahi vile shem..
Ujue wewe wa muhimu sana kwangu.
Naongea na lee ananileta tuu shem jamani.Najua lakini hivyo unavyosema haiwezekani ujue acha kunijaza
Weeeeee! THubutuuuuItabidi anifate tu mimi![]()
yaan
Ahahahha T acha mambo zako ujue hivi kwa nini upo hivyo ongea nae baba d akulete si unajua siwezi toka bila ruhusa yakeNaongea na lee ananileta tuu shem jamani.
Afu ile baskeli ya D inaozea ndani ujue..
Swali gani hilo T me sipendagi kuongelea watu ujueWeeeeee! THubutuuuu
Hivi demi yuko wapi siku hizi..
NdioooOoh ndio unamfata kumpa mke mwee![]()
Mimi sitaki utoke wala..Ahahahha T acha mambo zako ujue hivi kwa nini upo hivyo ongea nae baba d akulete si unajua siwezi toka bila ruhusa yake
Tuache asiee! Sio vizuri.Swali gani hilo T me sipendagi kuongelea watu ujue
AbeeeWewe shem
Hahaaa jtahidi kesho uende tukuyu mndali akakutembezeNew City Pub jooh...![]()
Unaenda kumpa nini vile mke mwee shemela wangu shululu baba jj mwenyeweNdiooo