Tuko poaaHumu ndani mko poa?
AmeeeeeeiiiiiiniiiiiMungu unihifadhi mimi kwa maana nakukimbilia wewe
Nimemwambia Bwana ndiwe Bwana wangu sina wema ila utokao kwako
Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora hao ndio niliopendezwa nao
ZABURI 15:1-3
MUWE NA USIKU MWEMA JAMANI MLINDWE NA DAMU YA YESU MLALE UNONOMIMI NAWAPENDA TUUU ILA NAMPENDA ZAIDI BABA D WA KWANGU MIMI KIBOKO KABISA LEE WA SHUNIE
Siwezi kumpoteza nitaenda kumsubiri Kkk ili ndo nimlete huku ili tukimaliza kutembelea nimpeleke ikuti akale mananasi baada ya hapo ndo tuanze safari ya kuelekea milima kwetu
Karibu sana jickie nyumbaniJambo Jema
Nimerudi tena makapuku bila Shaka forum ni ile ile
Hawajambo cjui DNaendelea vizuri sana mke mwee wakina jj wanaendeleaje jamaan
SawaNimeuliza tu mimi mke mwee ujue
Namfata baba wawiliunaenda wapi tena mke mwee
Mzima sana D mke mweeHawajambo cjui D
Ooh ndio unamfata kumpa mke mweeNamfata baba wawili
Kufwa tukuzike sieNaanzaje naogopa mie unamwaga mautramu ya baba d na kusifia juu wenzako wanapita kimya kimyawoiii siku ya siku unakutana na lithread chit chat la kumsifia baba d si nitakufwa ghafla mimi
Mcheki lee pm au shunieWapiiii....
Mimi na yeye mwili mmoja ujue sasa me pm situmii nilikupa njia rahisi tu ujue
Niko Town hapa now...Aaah sehemu Tafadhali
Wewe shem
Asante shemMungu unihifadhi mimi kwa maana nakukimbilia wewe
Nimemwambia Bwana ndiwe Bwana wangu sina wema ila utokao kwako
Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora hao ndio niliopendezwa nao
ZABURI 15:1-3
MUWE NA USIKU MWEMA JAMANI MLINDWE NA DAMU YA YESU MLALE UNONOMIMI NAWAPENDA TUUU ILA NAMPENDA ZAIDI BABA D WA KWANGU MIMI KIBOKO KABISA LEE WA SHUNIE
Nasubiri majibu yake alipo ili nimwambie aje huku kwetu kesho twende tukaliiisawa kaka
T uko sehemu gani
Town mbeya au huku kwetu itumbaNiko Town hapa now...
Aaah...Town mbeya au huku kwetu itumba