Makapuku Forum

Haya ya teller umeyatoaa wapiii

Ujuee aunt yako ana moyo ....alafu kakudanganyaa siku hiz ana mabwana wengine

Ila pole sana kwa kuwa wewe ndo umeanza kuvunja katiba yetu wacha tu queen afaidii ...yaaan posho yote ya polin umemkabiz yeye na wallet wewe kibokoo

Ila huyu aliyekunyanganya simu ni kibokoooo....na badoooo na ile njia huwez pita tena
 
Jamaniii mm kila nikisoma text zenu nakua kama nasikia sauti zenu vp nanyi mwasikia?


.....basi huwa nikisikia sauti ya mzeewakungoa huwa nakereka sana, inakoroma sana.

Ila nikisikiaga maandishi ya husna muba huwa nasikia sikio kutekenywa, yaani kama umetegesha sikio kwenye kalio na mwenye kalio zuri akaachia ushuzi. Yaani utamu utakaosikia kunong'onezwa kumesingiziwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…