Makapuku Forum

Hahahaha ila kwenye mtongozo ulikuwa wa kimya kimya
Ndio hapo
ujue me nilikua naonaga akikutag moneytalk mpenzi wangu nampenda sana nikawa najiuliza hivi hizi mambo ni kweli au bongo movie za jukwaani nilivyoona tu ile siku umepanik ya interview na kuniambia bado kidogo awe shemela wangu
nilivyoona uzi wa msamaha na ule wa kukubaliwa msamaha nikaona gari limewaka na kuon kweli hii kitu hakuna bongo movie jaman
 
Shemela nawe kwa kuwaza bongo movie hujambo
 
kwa taarifa yako ile ndo ilikuwa bongo movie Original
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…