Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 14, 2017 #276,561 shululu said: View attachment 587856Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho, nawatakieni wote siku njema Click to expand...
shululu said: View attachment 587856Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho, nawatakieni wote siku njema Click to expand...
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 14, 2017 #276,562 Tumosa said: Hakika tumeamka salama baba watoto Click to expand... Hakika. Asante mama wawili
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 14, 2017 #276,563 Tumosa said: Hakika tumeamka salama baba watoto Click to expand... Umeamkaje mtima wangu
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 14, 2017 #276,564 Habari za kuamka makapuku naona watu mitima yao wakifanya yao kwa raha zao kabisaa Hapana chezea makapuku sasa kaa tayari hivi punde nakuletea "LEO KATIKA HISTORIA"
Habari za kuamka makapuku naona watu mitima yao wakifanya yao kwa raha zao kabisaa Hapana chezea makapuku sasa kaa tayari hivi punde nakuletea "LEO KATIKA HISTORIA"
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 14, 2017 #276,565 MATUKIO 1960 - Iraq, Iran, Kuwait na Saudi Arabia ziliunda jumuiya ya OPEC.
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 14, 2017 #276,566 1979 - Nur Muhammad Tarak, Rais na na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Afghanistan aliuawa katika mapinduzi ambapo Waziri Mkuu Hafizullah Amin alishika madaraka
1979 - Nur Muhammad Tarak, Rais na na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Afghanistan aliuawa katika mapinduzi ambapo Waziri Mkuu Hafizullah Amin alishika madaraka
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 14, 2017 #276,567 KUZALIWA 1849 - Mwanasaikolojia wa Urusi, Ivan Pavlov.
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,400 Sep 14, 2017 #276,568 shululu said: View attachment 587837 Click to expand... Mungu hatawaacha polisi salama wanazuia hadi maombi kwa lisu Kweli hawakwepi shambulizi la lisu
shululu said: View attachment 587837 Click to expand... Mungu hatawaacha polisi salama wanazuia hadi maombi kwa lisu Kweli hawakwepi shambulizi la lisu
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 14, 2017 #276,569 1864 - Robert Cecil, miongoni mwa waanzilishi wa Jumuiya ya Mataifa alizaliwa
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 14, 2017 #276,570 1879 - Margaret Sanger, wakili na muanzilishi wa Uzazi wa mpango. Alizaliwa
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 14, 2017 #276,571 1973 - Rapa Nas Escobar alizaliwa.
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Sep 14, 2017 #276,572 Na hapo ndio mwisho kwa Leo tukutane kesho ukiwa nami Mrs obe
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 14, 2017 #276,573 husna muba said: Habari za kuamka makapuku naona watu mitima yao wakifanya yao kwa raha zao kabisaa Hapana chezea makapuku sasa kaa tayari hivi punde nakuletea "LEO KATIKA HISTORIA" Click to expand... Karibu
husna muba said: Habari za kuamka makapuku naona watu mitima yao wakifanya yao kwa raha zao kabisaa Hapana chezea makapuku sasa kaa tayari hivi punde nakuletea "LEO KATIKA HISTORIA" Click to expand... Karibu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 14, 2017 #276,574 Enyi wazao wa nyoka mwawezaje kunena mema mkiwa wabaya? Mana kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake Mtu mwema katika njema hutoa mema na mtu mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya MATHAYO 12:34-35 MUANGALIE NA MNAYONENA MDOMONI MDOMO HUUMBA MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU MBARIKIWW SANA
Enyi wazao wa nyoka mwawezaje kunena mema mkiwa wabaya? Mana kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake Mtu mwema katika njema hutoa mema na mtu mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya MATHAYO 12:34-35 MUANGALIE NA MNAYONENA MDOMONI MDOMO HUUMBA MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU MBARIKIWW SANA
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 14, 2017 #276,575 Tumosa said: Haina shida tutavuta wote unacheza na mahaba Click to expand... Wahenga hawakukosea waliposema mapenzi ni upofu
Tumosa said: Haina shida tutavuta wote unacheza na mahaba Click to expand... Wahenga hawakukosea waliposema mapenzi ni upofu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 14, 2017 #276,576 Tumosa said: Wala hujakosea Click to expand... shululu said: Kuna siku ulisema wakati mnaulizana na bitoz, ndio tangu hapo kukalili Click to expand... Tumosa said: Mwanamke mbea huyo we acha tu baba wawili Click to expand... Habari mnayooo mtu na mkewe
Tumosa said: Wala hujakosea Click to expand... shululu said: Kuna siku ulisema wakati mnaulizana na bitoz, ndio tangu hapo kukalili Click to expand... Tumosa said: Mwanamke mbea huyo we acha tu baba wawili Click to expand... Habari mnayooo mtu na mkewe
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 14, 2017 #276,577 shululu said: View attachment 587846 Click to expand... Kwahiyo ndio kusema omog bye bye simba washaanza drama za makocha
shululu said: View attachment 587846 Click to expand... Kwahiyo ndio kusema omog bye bye simba washaanza drama za makocha
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 14, 2017 #276,578 shululu said: View attachment 587856Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho, nawatakieni wote siku njema Click to expand... Shemela wangu mie asantee
shululu said: View attachment 587856Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho, nawatakieni wote siku njema Click to expand... Shemela wangu mie asantee
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 14, 2017 #276,579 husna muba said: 1864 - Robert Cecil, miongoni mwa waanzilishi wa Jumuiya ya Mataifa alizaliwa Click to expand... HBD Robert
husna muba said: 1864 - Robert Cecil, miongoni mwa waanzilishi wa Jumuiya ya Mataifa alizaliwa Click to expand... HBD Robert
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 14, 2017 #276,580 husna muba said: Na hapo ndio mwisho kwa Leo tukutane kesho ukiwa nami Mrs obe Click to expand... Woyoyoooooooooooo Asanteee
husna muba said: Na hapo ndio mwisho kwa Leo tukutane kesho ukiwa nami Mrs obe Click to expand... Woyoyoooooooooooo Asanteee