Makapuku Forum

Take it easy........ Next time usitoke nje ya mstari hata kama ni utani na kila kitu kitakuwa sawa
One love
 
Si yameisha

Mbona unayakuza...Ndio ulikosea utani wetu umeishia huku tu au kwenye thread yenye "interest kuhusu Kapukuz"
Ww ni mwanaume potezea vitu vidogodogo km hivyo...wanaume hatususi
Mbona me nishakosea na kuomba msamaha mara 3 hapahapa na maisha yakaendelea? ina maana sikuwa na akili?
Yaliyopita yamepita sio kitu cha kuendelea kukijadili
Be OK
............
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…