AmeniUpendo huvumilia, hufadhili, upendo hauhusudu upendo hautakabari, haujivunii
Haukosi kuwa na adabu hautafuti mambo yake hauoni uchungu, hauhesabu mabaya
Haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja na ukweli
Huvumilia yote huamini yote hutumaini yote hustahimili yote
Upendo haupungui neno wakati wowote Bali ukiwapo unabii utabatilika zikiwapo lugha zitakoma yakiwapo maarifa yatabatilika
WAKORINTHO 13:4-8
MUWE NA ASUBUHI NJEMA JAMANI MBARIKIWE SANA
Unasema hivyo akija tu unabadirika habari za kina queen mara teller mara muhudumu woiiii nitafanyaje mie baba dYaan binamu sijui ameamka kalewa ....ila ntapambana nae asikupe taabu
Cku hzi una kaukorofi kweli,mzima lkn mke mweeeKho kho kho
Kwa hiyo binamu yupo kwenye list ya wabaya wakoBinamu si mbaya wangu kwani hujui baba d kama binamu hataki me na wewe tuwe wote yaan ujue kuna mda binamu obe simuelewi mimi kabisa au anataka kukuoza huko mnakokuwa kilazima jamaan
Ewaaaaaa shem waniletee tu jamaan hili nitulie halaf waambie leo wasinichanganyie picha nipo makini sanaa
Ndio mm mama JJ ukipenda niite mrs ShululuMama jj mwenyewe ndani ya nyumba
Qeen wa kwakee jamani sema juzi alikunywa bili akamkwepaaUnasema hivyo akija tu unabadirika habari za kina queen mara teller mara muhudumu woiiii nitafanyaje mie baba d
Shemela...Cku hzi una kaukorofi kweli,mzima lkn mke mweee
Bora umemuona mkeoUchokonoziii yakinifuuu
Inabidi upambane tu na hali yakoUnasema hivyo akija tu unabadirika habari za kina queen mara teller mara muhudumu woiiii nitafanyaje mie baba d
UmekomaHapana baba d jaman yaan nimefika hapo tu nimepaliwa
JJ kirefu chake plzNdio mm mama JJ ukipenda niite mrs Shululu
Muwekeeni wakina kkBora umemuona mkeo
T mamboShem nikuletee nini?
Ili ugundue nnShem niletee wakina jj tu niwaone hapa kikohozi kitatulia waambie wazazi wao hapa kapuku jaman
Kweli babe wazingatie hilo ebu wakumbushe