Makapuku Forum

Best aggyjay sikujua kama utachukulia serious kiasi kile, labda niseme ni matani tu kuzidi. Hata nilivyopost kule kwangu niliichukulia kama only joking, nsamehe kama ntakuwa nimekukwaza.

Mpaka nimeogopa nilikuta umetuma hapa ujumbe wako, nimepata aibu kwa kuhisi kama nimedharirika kwa kuonekana nimekumention kwa ile post. Hata tangu nimejiunga hapa jf sijawahi kumfata PM mwanamke yeyote, maana mie ni mtu ninayejitambua na niko na familia yangu hivyo siwezi hata siku moja kuidhalilisha familia yangu.

Nisamehe bure mamaa aggyjay, na wala sijadhamiria. Mimi siko hivyo kama ulivyodhani, na wewe ni mtu wa kwanza kumkwaza hapa jf tangu nimejiunga sijawahi kuona mtu kanitusi wala kunisemea vibaya.

Pole kwa yaliyokukuta huko nyuma, amini kwamba hiyo ni mitihani ya kidunia. Muombe Mungu atakusaidia.
 
Source ni brain yake lol.... Wonders shall never end
 
Peace and love
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…