Makapuku Forum

Bwana Mungu wangu ikiwa nimetenda haya ikiwa mna uovu mikononi mwangu

Ikiwa nimemlipa mabaya yeye aliyekaa kwangu salama (hasha nimemponya yeye) Aliyekuwa mtesi wangu bila sababu

Basi adui na anifuatie na kuikamata nafsi yangu naam aukanyage uzima wangu na kuulaza utukufu wangu mavumbini


ZABURI 7:3-5

MUWE NA JUMAMOSI NJEMA MBARIKIWE SANA
 
Amen
 
Sawa mama zaburi, ninakaribia kukipenda hiko kitabu kwasababu ya facilitation unayoitoa hapo katika emoj ya pili kutoka mwisho kila siku kwenye post zako za zaburi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…