Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Hata wewe mzurii mungu fundi sanaMungu fundiiii kwa tumosa kamaliza mtoto mzuri huyo
Hii ni aina rap ya nchi gani?Muziki: Leo Mapema
U khali gani Kapuku mheshimika, usishangae mimi kukuita mheshimiwa, heshima ni kitu cha bure lakini kina gharama kubwa ukikikosa na ukiamua kumnyima mtu heshima ukitegemea yeye ndo akuheshimu umepoteza kitu cha msingi. Heshima, kuheshimika ni two way traffic, something for something na wenye lugha yao wanasema quid pro quo, huniheshimu sikuheshimu, unanieheshimu nakuheshimu. Kutokana na kuheshimiana huku ndiyo maana nakusalimia mida hii.
Nimewahi kidogo leo, nina sababu, yeah sababu za kuwahi zilizo ndani ya uwezo wangu, na ujue kitu kimoja tu muhimu. Kuwepo kwako hapa wewe shululu , Tumosa , lee empire , Shunie , dumejeuri (afu jamaa wewe una saa kama yangu, ila yangu ni ya gharama maana ni ya msahale na ya kukodoa, two in one, ina kalenda, afu ikiwa ni PM inakuambia, usiku gizani inatoa mwanga kama wale nzi wa kizungu).
Heshima inaendelea kwako Transcend , Sakayo , Clkey , dingimtoto , Bitoz , mpenzi wangu husna muba , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu asante kwa kudahmini magazeti leo, Madame S , Bailly5 , demi , Mondray , Nyagei mtaasisi tulikutana Jukwaa lile la chini, nilikuona haukuniona sasa tufanye tu hatukuonana. shedede , Jagood , Jimena , werrason , Mussolin5 , QUIGLEY , koncho77 , Mkushi wa kusi , heshima kwenu sana na uwepo wenu hapa unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa.
Muziki sasa, oh, nilitaka kusahau, wote niliowataja napenda tu kuwajulisha, kwa ambao mlikuwa hamjui, kabla ya kuburudika na muziki kaeni mkijua nimenunua simu 'mpya' inaitwa Samsung Galaxy, na leo niko Lindi. Sasa burudikeni na muziki
Ngoja wakuje wahusika waoneKwa mujibu wa dokta watu wanaokula vitu hivi karanga mbichi, korosho, mihogo mibichi na supu ya pweza kwa minajili ya kuongeza nguvu za kiume ni kwamba vitu hivi havina uhusiano na wanachokisema kwa kuwa virutubisho vyake vinahsika na kazi nyingine mwlini mwa binadamu
Muziki: Leo Mapema
U khali gani Kapuku mheshimika, usishangae mimi kukuita mheshimiwa, heshima ni kitu cha bure lakini kina gharama kubwa ukikikosa na ukiamua kumnyima mtu heshima ukitegemea yeye ndo akuheshimu umepoteza kitu cha msingi. Heshima, kuheshimika ni two way traffic, something for something na wenye lugha yao wanasema quid pro quo, huniheshimu sikuheshimu, unanieheshimu nakuheshimu. Kutokana na kuheshimiana huku ndiyo maana nakusalimia mida hii.
Nimewahi kidogo leo, nina sababu, yeah sababu za kuwahi zilizo ndani ya uwezo wangu, na ujue kitu kimoja tu muhimu. Kuwepo kwako hapa wewe shululu , Tumosa , lee empire , Shunie , dumejeuri (afu jamaa wewe una saa kama yangu, ila yangu ni ya gharama maana ni ya msahale na ya kukodoa, two in one, ina kalenda, afu ikiwa ni PM inakuambia, usiku gizani inatoa mwanga kama wale nzi wa kizungu).
Heshima inaendelea kwako Transcend , Sakayo , Clkey , dingimtoto , Bitoz , mpenzi wangu husna muba , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu asante kwa kudahmini magazeti leo, Madame S , Bailly5 , demi , Mondray , Nyagei mtaasisi tulikutana Jukwaa lile la chini, nilikuona haukuniona sasa tufanye tu hatukuonana. shedede , Jagood , Jimena , werrason , Mussolin5 , QUIGLEY , koncho77 , Mkushi wa kusi , heshima kwenu sana na uwepo wenu hapa unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa.
Muziki sasa, oh, nilitaka kusahau, wote niliowataja napenda tu kuwajulisha, kwa ambao mlikuwa hamjui, kabla ya kuburudika na muziki kaeni mkijua nimenunua simu 'mpya' inaitwa Samsung Galaxy, na leo niko Lindi. Sasa burudikeni na muziki
Hii ni aina rap ya nchi gani?
sitaki kuulizwa nilichochekea
Mkuu sijasikiliza vidio ila ulivyoandika nikahisi ulikuwa unarap...kwanza kabisa, asante kwa kuangalia post yangu, heshima kwako, pili, sina hakika kama umeisikiza hii clip niliyopandisha leo, sababu ni kuwa hii si rap kwa maana ya muziki wa kufoka. Nyimbo hii ni maboresho ya Yekeyeke Orijinal ya mwaka 1987 iliyoandikwa na kuimbwa naye Mory Kante, mzaliwa wa Guinea na baadaye akahamia Mali, keshafanya muziki na Selif Keita.
Umeona bhnaaa, hii ni fusion yenye Afro-Germany, na inaitwa dance remix sababu tu Wajeru waliipenda na kuamua kutumia magitaa ya umeme kutengeneza 'rizim' wanayoitaka bila kuiharibu 'Vitustu (Vitumbua)Vinanukia aah, shemeji ana leo fanya mambo tupige mpunga", Kante hicho chombo anachopiga kinaitwa Kora.
FYI, Yeke yeke, ilishika namba moja barani Uropa kwa karibu mwaka mzima na Mory Kante alichaguliwa kuwa balozi wa heshima wa shirika la FAO. Na Amitha Bachchan, yeah huyu huyu mzee wa Tel ma hebanian, Andha Kanoon, Yeke yeke ilisikika katika muvi yake Agneepath
Binamu mm mzima sana shikamoo jamaan hivi naanzaje kuwagombanisha we na mjomba ako lakini naanzaje mimi....wewe tena, unataka kunikosanisha na mjomba wangu bila sababu?!1 mzima lakini aunty yangu wa nguvu😀
Eden una utani na binamu yanguMkuu sijasikiliza vidio ila ulivyoandika nikahisi ulikuwa unarap
Mmmh basi watz tunaji-mix sanaKwa mujibu wa dokta watu wanaokula vitu hivi karanga mbichi, korosho, mihogo mibichi na supu ya pweza kwa minajili ya kuongeza nguvu za kiume ni kwamba vitu hivi havina uhusiano na wanachokisema kwa kuwa virutubisho vyake vinahsika na kazi nyingine mwlini mwa binadamu
Mtajua wenyewe jaman shululu ananichokoza hapa jukwan na mm namjibu kwahiyo yeye hamuoni uchokozi wake mnaona wangu tu
Asante dj Obe kwa musicMuziki: Leo Mapema
U khali gani Kapuku mheshimika, usishangae mimi kukuita mheshimiwa, heshima ni kitu cha bure lakini kina gharama kubwa ukikikosa na ukiamua kumnyima mtu heshima ukitegemea yeye ndo akuheshimu umepoteza kitu cha msingi. Heshima, kuheshimika ni two way traffic, something for something na wenye lugha yao wanasema quid pro quo, huniheshimu sikuheshimu, unanieheshimu nakuheshimu. Kutokana na kuheshimiana huku ndiyo maana nakusalimia mida hii.
Nimewahi kidogo leo, nina sababu, yeah sababu za kuwahi zilizo ndani ya uwezo wangu, na ujue kitu kimoja tu muhimu. Kuwepo kwako hapa wewe shululu , Tumosa , lee empire , Shunie , dumejeuri (afu jamaa wewe una saa kama yangu, ila yangu ni ya gharama maana ni ya msahale na ya kukodoa, two in one, ina kalenda, afu ikiwa ni PM inakuambia, usiku gizani inatoa mwanga kama wale nzi wa kizungu).
Heshima inaendelea kwako Transcend , Sakayo , Clkey , dingimtoto , Bitoz , mpenzi wangu husna muba , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu asante kwa kudahmini magazeti leo, Madame S , Bailly5 , demi , Mondray , Nyagei mtaasisi tulikutana Jukwaa lile la chini, nilikuona haukuniona sasa tufanye tu hatukuonana. shedede , Jagood , Jimena , werrason , Mussolin5 , QUIGLEY , koncho77 , Mkushi wa kusi , heshima kwenu sana na uwepo wenu hapa unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa.
Muziki sasa, oh, nilitaka kusahau, wote niliowataja napenda tu kuwajulisha, kwa ambao mlikuwa hamjui, kabla ya kuburudika na muziki kaeni mkijua nimenunua simu 'mpya' inaitwa Samsung Galaxy, na leo niko Lindi. Sasa burudikeni na muziki
Shededeeeeee....... Hivyo vitu haviongezi nguvu bali ni vyakula vinavyorutubisha mwili... Husaidia kuongeza uzalishaji wa semen... Na kuongeza libido.Mmmh basi watz tunaji-mix sana
post using my macbook air using jamiiforums app
Hujambo mjukuu wangu?
Shululu huu Uchokozi na uchochezi kiwango cha nuclear...... Tumosa ukuje!Akiwemo na Lee au
Niko mzima kabisa babuHujambo mjukuu wangu?