Makapuku Forum

Ubaya haulipwi kwa ubaya.
Ubaya kwa uzuri tu kaka
Hii ndiyo picha halisi inayotokea kwa mahusiano, mmoja anarusha neno baya kwa utani na mwenzie anaumia. Anatamani kuona mwenzie atajutia aombe msamaha, huku mwingine anataka kuona anabembelezwa, mwisho wa siku asipotokea mmoja wa kushuka...mahusiano ndo yamekwenda na maji...tunataniana lakini ktk vitu halisi vinavyotokea ktk jamii, jifunze kitu hapa

Cc
Emmyguy
Aggyjay
Patience123
 
Ni kweli kabisa kaka. Hayo mambo yapo sana katika jamii zetu
 
Hivi vitu vipo sana katika jamii tunazoishi, hata ndo maana ndoa za sasa zimekoswa sana staha. Kila mwenzi anajaribu kutengeneza mazingira ya yeye kuwa ndo kichwa na kujikuta mnaleta tafrani na kupelekea hata ndoa kuvunjika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…