shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Ukweli unakuweka huruHivi Binamu ngoja nikuulize unaona raha me kugombana na mjomba ako
Ukweli unakuweka huruHivi Binamu ngoja nikuulize unaona raha me kugombana na mjomba ako
Obe hii lugha veepiMarahaba , habari za mashindoni?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]....kuwa mkweli anko, hela uliyonituma niipeleke kule kwa teller tolu ndo nimeitumia kununua simu Samsung Galaxy, au hupendi Makapuku wajue?
Maelekezo elekezii[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] ati nn
Weka picha ya box acha longolongo binamu
Obe hii lugha veepi
Nimekupata....haha ahahahah, tulia mdau usiipeleke kwenye lugha lugha yako halafu ukairudisha kwenye kiswahili, utapata maana siyo
Hivi umejuaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namuona mama ashura anakuwekea viemoji anko wako amekataa hajakununulia simu usitake kunigombanisha nae binamu...nyie ndo waswahili kweli, yaani hadi leo box nikae nalo la nini sasa? Ukute wewe hadi maboksi ya viatu umeyatunza ndani? Huamini kuwa nilitumia hela ya anko kununua simu?
Ona hii emoji nakuongezea tena🙂🙂🙂
Ukweliiii upiii shemela kwenye ubora wako kabisaUkweli unakuweka huru
Kho kho khoMy love niambie
Baba wawili
Kwahiyo Baba D ni kweli umemnunulia simu binamu yako[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ukimanishaa umemtapelii ankoo wakoo ???
Hivi umejuaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namuona mama ashura anakuwekea viemoji anko wako amekataa hajakununulia simu usitake kunigombanisha nae binamu
Binamu nimecheka sana aisee acha nilale tu eti na hivi hajakukosea siku nyingi [emoji23] bora anigombanishe na wewe tu binamu kuliko ugomvi wa Baba D...ha hahahahahaha, yaani umeuuliza akubali? Kama umempa limbwata sawa, ila kama akili zake ziko timamu lazima akatae tu, na hivi hajakukosea siku nyingi. Anachotaka ni kunigombanisha mimi na wewe, ashindwe kabisa
Shem wanguShikamoo Binamu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hivi umejuaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namuona mama ashura anakuwekea viemoji anko wako amekataa hajakununulia simu usitake kunigombanisha nae binamu
Aisee haaaaahaaaa...ha hahahahahaha, yaani umeuuliza akubali? Kama umempa limbwata sawa, ila kama akili zake ziko timamu lazima akatae tu, na hivi hajakukosea siku nyingi. Anachotaka ni kunigombanisha mimi na wewe, ashindwe kabisa
Asante T barikiwa sana nimeipenda nyimbo nzuri sana [emoji120] uwe na usiku mwema kwako
Mambo yakoShem wangu
Dude limeamshwa buanaa [emoji134][emoji134]Mambo yako