Makapuku Forum

Sisi tulilala njee mbagalaa tena kwenye mikeka nakwambia

Sitasahau kwa kweli!!!
 
Shemela si unakumbuka kipindi cha saa mpya lakini tutakoma na hiyo galaxy sijui galaxy gani binamuuuu ukuje naomba picha mie halaf uniambie ni galaxy gani
Anakuzingua tu[emoji1] [emoji4]
 
Reactions: Obe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Asante kwa kuipenda!

Unajua namna ya kujiunga na kifurushi cha chuo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simu ya galaxy unaulizia mambo ya vifurushi vya chuo binamu simu umenunua bei gani kwani mpaka ushindwe kujiunga bundle la mwezi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli galaxy mpaka emoji umeweza kuweka binamu halaf galaxy haina screenshot ya hivyo binamu ujue cha kuzimia na kuongeza sauti hiyo itakuwa tekno. [emoji1][emoji1]
 
Mmenikumbusha nyiee watu tulilala nje wiki nzima tena chini kwenye mikeka km tuko matangani vilee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kisa popobawa!!
Sisi tulilala njee mbagalaa tena kwenye mikeka nakwambia

Sitasahau kwa kweli!!!
Acha tu watu walikimbia kulala ndani kwao popo bawa jamaan mara ukikutana nae utoke utangaze siku 7 [emoji1][emoji1] mtu una watoto na mke usipotangaza sijui unakufa sijui anakuja tena woiiii
 
[emoji524] Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike milele, kwa haki yako uniponye

Unitegee sikio lako, uniokoe hima uwe kwangu mwamba wa nguvu, Nyumba yenye maboma ya kuniokoa[emoji524]

ZABURI 31:1-2

MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU NA MBARIKIWE [emoji7] [emoji120]
 
Acha tu watu walikimbia kulala ndani kwao popo bawa jamaan mara ukikutana nae utoke utangaze siku 7 [emoji1][emoji1] mtu una watoto na mke usipotangaza sijui unakufa sijui anakuja tena woiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] imebaki story now
 
Amin
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…