Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Weee...muhenga peke yako mi bado mbichiiiiiii. Hata sijakauka badooMuhenga shemela mimi jamaan kama mpendwa wa binamu.![]()
Weee...muhenga peke yako mi bado mbichiiiiiii. Hata sijakauka badooMuhenga shemela mimi jamaan kama mpendwa wa binamu.![]()
Basi muhenga mimi tu mwenyeweWeee...muhenga peke yako mi bado mbichiiiiiii. Hata sijakauka badoo

Hujambo mjukuu wangu?Salaam mkushi za wewe
Sijambo babu shikamooHujambo mjukuu wangu?
Marhabaa mjukuu wangu..... Habari za Mchana.Sijambo babu shikamoo
Jana jiran alisaidiaa jahazsasa kapuku wanajua nini watakusaidiaje au jana ulikuja kuwauliza huku
Baba D usiniambie umeshanichoka jamaan unataka kunigawa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nakugawaaaaaaa

Jana jiran alisaidiaa jahaz



kuniuliza mimi ulijua nitakucheka ebu niambie ni jirani gani huyo
Salama babu sijui za huko ulipoMarhabaa mjukuu wangu..... Habari za Mchana.
Niseme lilee neno ambalo hulipendiiii ??kuniuliza mimi ulijua nitakucheka ebu niambie ni jirani gani huyo
Hivi Baba D ujue lile neno kwa nini sipendi utumie nitakwambia ila sio hapa Baba DNiseme lilee neno ambalo hulipendiiii ??
Nikijaa home au ??Hivi Baba D ujue lile neno kwa nini sipendi utumie nitakwambia ila sio hapa Baba D