Makapuku Forum

[emoji524] Ee Bwana Mungu wangu nakulilia ukaniponya

Umeniinua nafsi yangu Ee Bwana kutoka kuzimu umenihusisha nafsi yangu [emoji524]


ZABURI 30:1-2

MUWE NA USIKU ULIO MWEMA KWENU DAMU YA YESU UWALINDE [emoji120]
Amen,ubarikiwe Mtumishi!
 
Kk Obe Mungu akubariki sn kwan umenikumbusha miongo kadhaa nyuma enzi zile niko Mwenge Sec. wkt wenzangu wanakomaa kumskiliza xzibit na ngoma yake paparaz ama 2pac Omar shakur na ngoma yake ya baby don't cry mi nilikua naburudika na mziki mtam wa mjombaangu R.kell stom is over ama l wish if l could turn back hand of time!
Ahsante sn comrade!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…