Makapuku Forum

[emoji524] Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa, Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama.

Mtu mwema atapata upendeleo kwa Bwana, Bali mtu wa hila atahukumiwa naye.

Mtu hatathibitika kwa njia ya uovu, shina la mwenye haki halitaondolewa kamwe. [emoji524]


MITHALI 12:1-3

NAWASALIMIA TU MIMI MBARIKIWE SANA MUWE NA MCHANA ULIO MWEMA NA JMOSI NJEMA KWENU [emoji7] [emoji120]
 
Amen
 
NAWE PIA
 
Emoj yene macho ya koppa mekundu, barikiwa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…