Mke wangu leo amekuja na stori kwamba anaujauzito ambao unaonekana sio wa kwangu, na ikaonekana dhahiri kwamba atakuwa ana date na kijana youngblood. Ndo maana majigambo ya huyu kijana yamezidi kuongezeka kila kukicha.
Inasemekana aggyjay ana mimba ya youngblood sasa ndo EMMYGUY kamkataa huku bado anampenda!
Pia EMMYGUY anaamini kuwa mimba sio yake wala ya youngblood inaweza kuwa ni ya mtu mwingine kabisaaa