Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG-20170830-WA0021.jpg
 
*UJUMBE WA LEO*

*WAEBRANIA 12: 28*

[emoji259]*"Basi kwa kuwa tunapokea ufalme usioweza kutetemeshwa, na mwe na neema, ambayo kwa hiyo tumtolee Mungu ibada ya kumpendeza, pamoja na unyenyekevu na kicho;"*[emoji255]

Ufalme wa MUNGU hauna anayeweza kupingana nao akashinda. Na huu ndiyo urithi wetu.[emoji255]

Unyenyekevu na hofu kwa MUNGU ni kipimo kikubwa cha utii wetu kwa MFALME wa milele. Kiburi na majivuno ni tabia ya upinzani dhidi ya MFALME. Biblia inatukumbusha kuwa Yeye MUNGU ambaye ndiye MFALME mwenye enzi na mamlaka yote, huwapinga wenye kiburi na kuwapa wanyenyekevu Neema.[emoji259]

Mungu wa Neema zote akujalie roho ya unyenyekevu na uwe na kicho kwake. Nafasi ya madaraka, fedha, uwezo wa namna yo yote usisababishe kiburi na majivuno ndani yako.

[emoji272]*MUNGU AKUBARIKI*[emoji257]
 
Amen
 
Back
Top Bottom