Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Anagawa like tuu na kusepa [emoji3][emoji3]Binamu unachonifanyiaa Mungu anakuonaa
Anagawa like tuu na kusepa [emoji3][emoji3]Binamu unachonifanyiaa Mungu anakuonaa
Binamu unachonifanyiaa Mungu anakuonaa
Good morning mkuuGoodmorning...
Nukuu inakuja hivi punde
Anagawa like tuu na kusepa [emoji3][emoji3]
Pm zangu viiipiiiii na shukuru hamna option ya kuzifutaa....anko, nivumilie kwa siku mbili nitaingia kusoma text zote na kila kitu kinarudi kama mwanzo! Nafinalize kila kitu sasa na leo muziki unapanda bila kwere.
Nimekumiss sana anko, tuko pamoja
Pm zangu viiipiiiii na shukuru hamna option ya kuzifutaa
Ata P naona salamu zangu hafikishi...ila hope soon mambo swadaktaaaaNiwie radhi sana mjomba! Muda wote utaniona niko online maana huwa sizimi data wala kusign off
Utaniona hivi mapema tu leo
Sikuona shem.... Ila mie Sijawahi chomeshwa hayo mahindi ujue... Kwanza huyoo mwanaume ataanzia wapiiiKule kwenye wachomeshwa mahindi
Shikamoo dadaSikuona shem.... Ila mie Sijawahi chomeshwa hayo mahindi ujue... Kwanza huyoo mwanaume ataanzia wapiii
Salama salimini kabisa mme mweeWakuu kumekucha swalamaaaaaa ....kwa udhamini mnono wa shunie UF soon....
Kweli aiseeBinamu unachonifanyiaa Mungu anakuonaa
Morning TGoodmorning...
Nukuu inakuja hivi punde
Pamoja sana mdauMdau, acha tu hata nitembeze like maana kazi ilivaa kimini nami niko kwenye mfungo. Thanks ninaweza kusoma kila kitu hata kama nashindwa kucomment post nzuri za Makapuku waheshimika
Usijali shemeji, nyie huwa hamchomeshwi, ila mnachomeshaSikuona shem.... Ila mie Sijawahi chomeshwa hayo mahindi ujue... Kwanza huyoo mwanaume ataanzia wapiii