Makapuku Forum

Makapuku Forum

e474f0496f868e776f10612be2af3fa6.jpg
 
Katika dondoo za bbc. ..


[emoji117] Mgogoro wa ardhi wilayani Loliondo, Kaskazini mwa Tanzania umeendelea kukua baada ya mamlaka za uhifadhi wilayani humo kuendelea kuchoma nyumba za watu wa jamii ya Kimaasai.

[emoji117] Rais Donald Trump anatembelea Texas, wakati ambapo jimbo hilo likihangaika kukabiliana na madhara yaliyosababishwa na mvua nyingi.

[emoji117] Bunge jipya la Katiba nchini Venezuela limepiga kura kwa kauli moja kuunga mkono viongozi wa upinzani kushtakiwa kwa makosa ya uhaini

[emoji117] Wakati Kenya ikianza kutekeleza marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki,nchi ya Rwanda ilianza marufuku hiyo miaka 9 iliyopita na inajivunia kufanikiwa kutekeleza marufuku hiyo

[emoji117] Mkuu wa shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa-FAO-Jose Graziano da Silva ameanza ziara rasmi ya siku tatu nchini Uganda

[emoji117] Je waufahamu muziki wa mwambao?ni maarufu katika Pwani ya Afrika mashariki,kutokana na vionjo vyake ambavyo huleta Ladha na nakshi ya aina yake katika muziki huo
 
Back
Top Bottom