NUKUU YA LEO
I not only use all the brain that i have, but all that i can borrow
sio kwamba natumia akili yote niliyonayo pekee bali natumia hata ile ninayoweza kuazima
Haya maneno yaliwahi kutamkwa na Rais wa 28 wa taifa la marekani Bw. Thomas woodrow wilson.
Thomas W. Wilson alizaliwa Dec. 28 mwaka 1856 na kufariki February 3 mwaka 1924.
Thomas Willson alisomea historia na siasa akiwa chuoni.
Woodrow wilson alisawahu kuwa rais wa chuo cha princeton moja ya vyuo mashuhuri nchini marekani.
Wilson amekuwa rais kati ya march 4 mwaka 1913 hadi march 4 mwaka 1921.
Huyu ndiye aliyekuwa Rais wakati ya vita ya kwanza ya dunia.
Huyu woodrow wilson ndio alikuwa kiongozi mkuu kwenye paris versailles peace conference mwaka 1919.
Mtakumbuka 14 points za wilson kuhusu hiyo peace treaty. Na ndio likawa chimbuko la League of Nation au La societe des Nations ambayo leo hii ndio tunaita United Nations..
Hiki kichwa ndio chimbuko la Kuwepo kwa umoja wa Mataifa ambao leo hii marekani anautumia kama mwavuli wa kupenyeza sera zake za kimataifa.
Kwa kifupi jamaa anamaanisha alikuwa anatumia akili zake na kuchanganya na zile za watu wengine.
Akili yako changanya na ya kupewa
Nawatakia siku njema wakuu.