Makapuku Forum

usiwe ma hasira mkuu aggy hana chochote ni mzima, bado akupenda, achana na youngblood hana lolote kwanza jogoo hawiki mjini...
cc
Aggyjay acha kumtishia emmyguy bhana, rudi kwako
Acha kumpa mwenzako matumaini ambayo hayapo,aggyjay alisema kwamba ni uongo baada ya kuona jamaa ametoka nduki[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] akazani labda jamaa ameenda kubugia sumu ya kunguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…