Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nitag jibuSikujui mie![]()
ila mi sipendi umtaje banaa
Nakupenda pia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kumbe na ww unakimbizaga mwenge
Nitag jibuSikujui mie![]()
ila mi sipendi umtaje banaa
Nakupenda pia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kumbe na ww unakimbizaga mwenge
Ila pambano lilikuwa safiii sio kama lile la pacqHahhaaaa...
Leo alikuwa haongei
Well sayAdditional
Leo asubuhi kulikuwa na pambano la pesa
The money fight
Floyd Mayweather vs Connor McGregor
Hapa niwaweke sawa tofauti ya KO NA TKO![]()
KO ni kitendo cha kupigwa na ukashindwa kufurukuta baada ya kuangushwa na ukahesabiwa mpaka kumi.
TKO ni pale unapozidiwa hata kama hukuangushwa, refa akaamua kusimamisha pambano au timu yako kurusha taulo ulingoni kuashiria pambano wameshindwa.
Kawaida tuuIla pambano lilikuwa safiii sio kama lile la pacq
Pamoja sana mme mweeShukrani
Kwema mkuu za weekend?Wakuu kwemaaa...
Asante kwa ufafanuziAdditional
Leo asubuhi kulikuwa na pambano la pesa
The money fight
Floyd Mayweather vs Connor McGregor
Hapa niwaweke sawa tofauti ya KO NA TKO![]()
KO ni kitendo cha kupigwa na ukashindwa kufurukuta baada ya kuangushwa na ukahesabiwa mpaka kumi.
TKO ni pale unapozidiwa hata kama hukuangushwa, refa akaamua kusimamisha pambano au timu yako kurusha taulo ulingoni kuashiria pambano wameshindwa.
OkTukutane baadae kwenye matokeo
![]()
.
.
.
.
.
SPORTS SEGMENT DEACTIVATED
Karibu tena
Labda ukimuomba ww atarudi.........yuko wapi mama Mchungaji?
Nauliza tu, nitarudi kusalimia.