Makapuku Forum

Makapuku Forum

Additional

Leo asubuhi kulikuwa na pambano la pesa
The money fight
Floyd Mayweather vs Connor McGregor
fd31d69731be0facc96c14e5ecbd0597.jpg
Hapa niwaweke sawa tofauti ya KO NA TKO

KO ni kitendo cha kupigwa na ukashindwa kufurukuta baada ya kuangushwa na ukahesabiwa mpaka kumi.

TKO ni pale unapozidiwa hata kama hukuangushwa, refa akaamua kusimamisha pambano au timu yako kurusha taulo ulingoni kuashiria pambano wameshindwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom