shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Najaribu kumbembeleza aje, ila huwa anachungulia.........yuko wapi mama Mchungaji?
Nauliza tu, nitarudi kusalimia.
Najaribu kumbembeleza aje, ila huwa anachungulia.........yuko wapi mama Mchungaji?
Nauliza tu, nitarudi kusalimia.
Haaaaahaaaa......hapana my sweety Husna! Siku nyingi hatujamuona humu! Kumbe kigamboni unakujua anapokaa!?
Ninakupenda sana ujue, siachi kukukumbuka kama track suit za mbio za mwenge
Za kuadimika shemejiShemeji
Njema sana majukumu yanabana kama tai, wazima?Za kuadimika shemeji
Nzuri mkuu chaplinHabarini za asubuhi wapendwa wa KF
Uhali gani bibie wa mtaasisiNzuri mkuu chaplin
NikopoaUhali gani bibie wa mtaasisi