Serikali inahusika hapa
Morning mkuu!Morning all kapuku
Morning tooMorning mkuu!
Zas y i love yew!I will be responsible for my actions, maana siwezi muacha, tutalea Kwa Hali yoyote ile
Shhhhhhhhh!!! Nitafurahi sana wallah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara paaaaap kimeingia kwa madame s bila kupanga
.........yuko wapi mama Mchungaji?TUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa Mama mchungaji
Yuko kwake kigamboni.........yuko wapi mama Mchungaji?
Nauliza tu, nitarudi kusalimia.
Yuko kwake kigamboni
Nikupeleke?!
Sikujui mie [emoji1] [emoji1] ila mi sipendi umtaje banaa......hapana my sweety Husna! Siku nyingi hatujamuona humu! Kumbe kigamboni unakujua anapokaa!?
Ninakupenda sana ujue, siachi kukukumbuka kama track suit za mbio za mwenge
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Shhhhhhhhh!!! Nitafurahi sana wallah
Shemeji[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]