Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,527
- 5,758
Tupo na kifo kipo ila tu hakijawadia mkuu!Makapuku mpo au mmekufa
Tupo na kifo kipo ila tu hakijawadia mkuu!Makapuku mpo au mmekufa
AtariiiiiiiiiiiiRaha Sana kk!
Hahahaaa chamoto mtakiona awamu hiiMarehemu ni yule anae uliza kuwa kwanini hatujakufa

Naona umepatwa na utindio was ubongo wahi hospital uapiwe matibabu maana hata wewe hujui unacho zungumza hapaHahahaaa chamoto mtakiona awamu hii![]()
Wanaopenda mkutane kutaneni tu jamaan mimi mtaniambia jukwaani ilivyokuwa kwenye makutano

Akikupa naomba uninunulie sodaWanawaita nani vileeeeee Baba D popote ulipo naomba yale mahela tuliyowekeana dau kuhusu mechi ya leo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Npo karibu yke hapaPole shemela kwa uchovu mwambie mke mwee akupe kampani
Lee Unataka Tusi ?Huyoo ujue under 21
Niambie my loveBaba wawili wngu
Jibu murua kabisa shemejiMarehemu ni yule anae uliza kuwa kwanini hatujakufa
Hii jiografia ni kweliukiondoka Tokyo kwa ndege Jumatano saa 1 asubuhi, utafika Honolulu Jumanne (jana yake) saa 10:30 asubuhi.
Hodi !Jibu murua kabisa shemeji
Man uuuuuuuuu..
Bado goli 2
JE WAJUA
Bruce Lee alikuwa na kasi ya ajabu, kiasi kwamba ilibidi wapunguze spidi ya filamu zake ili uweze kuona vitendo vyake kinyume na filamu nyingine zinaongezwa kasi.
Npo karibu yke hapa
Naona umepatwa na utindio was ubongo wahi hospital uapiwe matibabu maana hata wewe hujui unacho zungumza hapa
Hahahaaa chamoto mtakiona awamu hii![]()
Atariiiiiiiiiiii
Tupo na kifo kipo ila tu hakijawadia mkuu!
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 5 kutoka Million 8 niliyotangaza hapo awali. Karibuni pm tufanye biashara.
Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili yaani 21 kwa 25 na kuuza 2,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa Million 5 au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau.
Nimelazimika kupunguza bei baada ya kukosa Wateja na ninahitaji pesa ya kuendeleza biashara zangu.
Asanteni wadau kwa ushirikiano wenu
Kwa mawasiliano zaidi 0717079379
Sent using Jamii Forums mobile app