shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kwema kabisaMr Engineer..
Kwema kaka?
Kwema kabisaMr Engineer..
Kwema kaka?
Harakati kama kawaida...Visiwanii huku safi brother..sijui nyie huko harakati..
Ileje kwema shemeji za hapo kibahaNzuri kabisa shemeji, za ileje
Pamoja dadaNdio tunalisongesha taratibu
Za kibaha nzuri, japo kuwa bado nipo jijini dar
Kesho mko anfield kaka mkubwaKwema kabisa

Una dukudukuuAisee
Team Ireland...Tujuaneee mapemaa ....![]()
Hvi hii game ni asubuhi saa moja ama?Tujuaneee mapemaa ....![]()
Mayweather anapigwaTujuaneee mapemaa ....![]()
Game imeishajeUna dukudukuu
Sawa shemeji hivi kimbiji nayo ni dar au ni pwaniZa kibaha nzuri, japo kuwa bado nipo jijini dar
Jamaaa kamuweza kwa manenoTeam Ireland...
Kimbiji ni dar, ipo wilaya ya kigamboni shemeji
Ni saa nane alfajirHvi hii game ni asubuhi saa moja ama?
Manake nyagei hajanipa muda sahihi?
Sijui kama nitaangalia, nimechoka vibaya sanaNi saa nane alfajir
![]()
This is simbaaaaaaaa