Chunga Mali yakooo mkuuuPwaaaaaah..Mkuu umenifanya nipaliwe ulivyotaja jina la jambilo jamaa anataka kuniletea balaa baina yangu na amaizing my wife pamoja na youngblood anasema youngblood ameanza kuruka mipaka ya ushemeji..
Ahaaaa kwavile unaongoza Jf kwa kuwa na likes nyingi ndio unataka ucheze na shemejioKwani wewe unaonaje mkuu.
Mbona mimi sioni sheeda.
Jamaa anamwandiko wa kifacebook sana, hata sijamwelewa vizuri.Asa k maana yake nini???
Andika kirefu sheikh
Mkuu usiwe unaandika kwa kifupi wengine wazeee hatuelewiikam kunawatu wangejua huk ni kuzur zaid ya groap la whatsApp du had raha
Karibu mpenzi, mambo vipi?Hodi
Mkuu upendo wangu kwa aggyjay ni agape type.Ahaaaa kwavile unaongoza Jf kwa kuwa na likes nyingi ndio unataka ucheze na shemejio
Haaahah.....Mkuu upendo wangu kwa aggyjay ni agape type.
Ndo maana ameachwa hahahaa...Ha aahaaah haaah
Team dimpooo
mzuka sana , niaje lakini?Poa sana, Niaje mkuu?
Nshamuona tayari, ngoja nilonge nae kidogo mambo nyeti.Mkeo akusaka, umemwona!
Ni poa, kukumiss tu hapa KFmzuka sana , niaje lakini?
ngoj ni tembee na chakiNshamuona tayari, ngoja nilonge nae kidogo mambo nyeti.
Mi niko safiiiNi nzuri tu madam, vipi wewe?
Jamaa anajua hapigi kazi ndiyo mana ameniachia....Haaahah.....
Emmyguy atakutumbua
ni pouwa mkuu, habari za hapo MSMambo yako poa brother.
Uko vizuri?
Mch. mbona umeanza kuleta mambo ya ajabu?Karibu dada, emmyguy alishaanza kuchizika humu
MS raha tu brother.ni pouwa mkuu, habari za hapo MS
Upooo!!!!!mzuka sana , niaje lakini?