Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,063
Pole mpendwa we binamu ndio ukubwaNiko poa mawazo tu
Kapanda cheo ??Sijui kama wamempokonya ila bado yupo simba niliona picha zake juzi sema muweka picha alikosea alimuandika kocha msaidizi
Mmmmmh wakat ata like sipatiNakupenda sana Baba D wangu mimi
ZimefikaMsalimie sana ....
Leta manenoWakuu leo tunaianza safari mpya kwa wale wapenzi wa simulizi. ...ni kitu cha Germany machine .....
Ndiyo hivyoWaoiiii kutoka Mr x mpaka German machine
Shemela za kuamkaUnajua vile nakumiss tu Mimi Baba D wangu![]()
![]()
ahahah ila we Baba ujue nacheka tu mwenyewe Baba D
Asante mpendwa wa binamu kwa storyNiko poa mawazo tu
Amen,ni baba mkubwa ametutoka!Umefiwa na nani tena dumejeuri pole sana Mungu awatie nguvu
Hapo sasa kama aliyeandika alikosea au vipi Baba DKapanda cheo ??
Ebu acha bana baba d likes zipi unataka jaman zaidi ya hiziMmmmmh wakat ata like sipati
Safi shemela wangu jaman za weweShemela za kuamka
Pole sanaAmen,ni baba mkubwa ametutoka!
Si unajuaa ntanengenekaa wewee mwisho narudiiiEbu acha bana baba d likes zipi unataka jaman zaidi ya hizi
Nzuri kabisa shemela wa mimi, D hajamboSafi shemela wangu jaman za wewe
Najua jamaan ila usifanyie hivyo Baba D Nakupenda MimiSi unajuaa ntanengenekaa wewee mwisho narudiii

D mzima kabisa shemela sijui wakina jj wanaendeleajeNzuri kabisa shemela wa mimi, D hajambo
Sawa mama DNajua jamaan ila usifanyie hivyo Baba D Nakupenda Mimi![]()
![]()
![]()