Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Leo katika historia
1961 - Ida Siekmann anafariki alipojaribu kuvuka ukuta wa Berlin.
Leo katika historia
1961 - Ida Siekmann anafariki alipojaribu kuvuka ukuta wa Berlin.
OK poa mkuu wajibikaaWakuu..
Nitakuwa naingia humu kwa kunyatia kidogo..
Kuna ishu zinanifanya busy kidogo..
I will miss you all..
Leo katika historia
1973 - Bunge la Chile lapiga kura ya kutokuwa na imani na Rais wa nchi hiyo, Salvador Allende.
Bunge liliadhimia Rais ajiuzulu ili kupisha uchaguzi mpya, vinginevyo wangetumia nguvu kumuondoa.
Leo katika historia
1968 - Papa Paul wa VI anafanya ziara katika Jiji la Bogota huko Colombia.
Inakuwa ni ziara ya kwanza ya Papa katika nchi za Amerika ya Kusini.
Leo katika historia
1991 - Federico Macheda anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Man Utd na timu ya taifa ya Italy.
Leo katika historia
1978 - Jomo Kenyatta anafariki Dunia. (Kenyatta Baba)
Alikuwa Rais wa kwanza wa Kenya.
Asante pacha kwa Leo katika historiaLeo katika Historia:
Haina la ziada...... Jina langu ni Jimena Jimenes....
Kwa udhamini mnono wa Chia seeds sina la ziada!!!...
Nawatakia siku njema na furaha tele
![]()
Jipatie paketi yako sasa kwa bei ya shilingi 10,000/=
Cjambo[emoji120] [emoji120]Marhaba Marhaba Marhabaa...
Hujambo?