Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Leo katika Historia
1902 - Kampuni ya magari ya Cadillac yaanzishwa huko Marekani.
Serious about...?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Babu I'm serious
Marhaba Marhaba Marhabaa...Shikamoo babu
About kulima
Leo katika hiatoria
1959 - Althea Gibson anakuwa mchezaji wa kwanza mweusi kushindana katika mchezi wa Tennis katika nyanja ya kimataifa.