Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524] Ulimi wako watunga madhara kama wembe mkali, Ewe mwenye hila

Umependa mabaya kuliko mema na uongo kuliko kusema kweli

Umependa maneno yote ya kupoteza watu ewe ulimi wenye hila [emoji524]

ZABURI 51:2-4

MBARIKIWE SANA MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA [emoji120] [emoji7] NAWAPENDA TU MIMI
 
Ubarikiwe pia Shunie
 
Back
Top Bottom