kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,696
Kwema lakini
Kwema mkuu! Naona umebaki peke yako unalinda thread yetu pendwa


Kwema lakini


Hahahaha tulinde wote, wengine bado kwenye ibadaKwema mkuu! Naona umebaki peke yako unalinda thread yetu pendwa![]()
Nzuri kabisa mama JJHbr ya kuamka baba wawili
Hahahaha tulinde wote, wengine bado kwenye ibada
Hahahaha pole sana,Hahahaha! Ndo maana leo nimepokelewa vizuri. Kuna watu wakorofi sana huku.
Shikamoo shemela wanguPamoja sana shemela wa mimi
Tumenza lini shemela kutaniana me na wewe au ulimtumia sakayo anipunguzieHalijakufikia tu
AmeeeeenTupate neno kidogo
MASOMO YA MISA, AGOSTI 20, 2017
DOMINIKA YA 20 YA MWAKA A
SOMO 1
Isa. 56:1, 6-7
Bwana asema hivi, Shikeni hukumu, mkatenda haki; kwa maana wokovu wangu u karibu kuja, na haki yangu kufunuliwa. Na wageni, walioandamana na Bwana ili wamhudumu, na kulipenda jina la Bwana, kuwa watumishi wake; kila aishikaye sabato asiivunje, na kulishika sana agano langu; Nitawaleta hao nao hata mlima wangu mtakatifu, na kuwafurahisha katika nyumba yangu ya sala; makafara yao na dhabihu zao zitakubaliwa juu ya madhabahu zangu; kwa maana nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote.
Neno la Bwana... Tumshukuru Mungu.
WIMBO WA KATIKATI
Zab. 67:1-2, 4-5, 7 (K) 5
(K) Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Mungu na atufadhili na kutubariki,
na kutuangazia uso wake.
Njia yake ijulikane duniani,
wokovu wake katikati ya mataifa yote. (K)
mataifa na washangilia,
naam, waimbe kwa furaha.
Maana kwa haki utawahukumu watu,
na kuwaongoza mataifa walioko duniani. (K)
watu na wakushukuru, Ee Mungu,
watu wote na wakushukuru.
Mungu atatubariki sisi;
miisho yote ya dunia itamcha Yeye. (K)
SOMO 2
Rum. 11:13-15, 29-32
Nasema na ninyi, mlio watu wa Mataifa. Basi, kwa kadiri nilivyo mtume wa watu wa Mataifa. Basi, naitukuza huduma iliyo yangu? Huenda nikapata kuwapatia wivu walio damu moja na mimi na kuwaokoa baadhi yao. Maana ikiwa kutupwa kwao kumeleta upatanisho kwa ulimwengu, je! Kukubaliwa kwao kutakuwa nini kama si uhai baada ya kufa. Kwa sababu karama za Mungu hazina majuto, wala mwito wake. Kwa maana kama ninyi zamani mlivyomwasi Mungu, lakini sasa mmepata rehema kwa kuasi kwao; kadhalika na hao wameasi sasa, ili kwa kupata rehema kwenu wao nao wapate rehema. Maana Mungu amewafunga wote pamoja katika kuasi ili awarehemu wote.
SHANGILIO
Mdo. 16:14
Fungua mioyo yetu, Ee Bwana, Ili tuyatuze maneno ya Mwanao.
Aleluya.
INJILI
Mt. 15:21-28
Yesu aliondoka huko, akaenda kando pande za tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo. Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu. Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akamsujudia, akisema, Bwana unisaidie. Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani pa bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.
Madame S
Asante sana shemela
Ni kweli tunataka mabadiliko
Hbr ya ibadaniNzuri kabisa mama JJ
Marhabaaa kwa niabaShikamoo shemela wangu
Karibu sanaHodi kwa Mara nyingine mapapuku
Nataka aitikie niliyemwamkia jaman mke mwee mbona hivi fujoMarhabaaa kwa niaba
Umepata shemelaShemela shululu naomba uniwekee nyimbo ya Christina Shusho Napenda![]()
Napenda Yesu kila kitu chako mimi napendaUmepata shemela
Asante kushukuru shemelaNapenda Yesu kila kitu chako mimi napenda![]()
Asante sana shemela shululu jaman ila ebu jitahidi kumiwekea kama binamu vile hakuna link ya youtube sawa shemela wangu ukiweka tu nyimbo yenyewe inakuwepo
Yaan na nilivyo sijui kuelekeza ujitahidi tu unielewe shemela binamu obe akiweka anaweka music moja kwa moja bila link ya youtube kama ulivyoweka wewe shemela wangu naomba ukiweka uweke kama vile binamu anavyofanyaAsante kushukuru shemela
Kwenye link sijakupata vizuri