shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante ankali JJ kwa historiaNiite Jimena Jimenes na mpaka hapo basi sina la zaidi kutoka kwenye historia
Kwa udhamini mnono wa Chia seeds![]()
Muwe na jumapili njema na mapumziko mema
Ciao
Asante ankali JJ kwa historiaNiite Jimena Jimenes na mpaka hapo basi sina la zaidi kutoka kwenye historia
Kwa udhamini mnono wa Chia seeds![]()
Muwe na jumapili njema na mapumziko mema
Ciao
Naona Jana laccanyavu hoiNimekupata mkuu
Morning too
Wadau mmeamka salama lakini ?
Leo ni jumapili ndau
Hahahhahahhaa









Morning my love
How are you love
Leo katika Historia
1960 - Senegal yajitangazia Uhuru wake.
Am fine, vipi wewe loveHow are you love
Madame S
Leo katika Historia
1923 - Jim Reeves anazaliwa.
Mwanamuziki mahiri toka nchini Marekani.
HaaahaaaWadau mmeamka salama lakini ?
Mi fresh kabisa jana nimekala usingizi swaaf maana jirani kapigwa jana
]b]Niwatakie Jumapili Njema
.......
Leo katika Historia
1946 - Laurent Fabius anazaliwa.
Alikiwa ni Waziri Mkuu wa 158 wa Ufaransa.