Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Leo katika Historia
1951 - Mohamed Morsi anazaliwa.
Ni Rais wa 5 wa Misri.
Aliiongoza Misri mwaka mmoja tu (2012--13)
Alitiwa mbaroni akishutumiwa kuua waandamaji
.....
Leo katika Historia
1951 - Mohamed Morsi anazaliwa.
Ni Rais wa 5 wa Misri.
Leo katika Historia
1965 - KRS - One anazaliwa.
Ni mwanamuziki wa Hip Hop toka nchini Marekani.
KLeo katika Historia
1966 - Enrico Letta anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa 55 wa ITALY.
Leo katika Historia
1983 - Yuri Zhirkov anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Russia.
Anafahamika zaidi kama Ronaldinho wa Russia.
Leo katika Historia:
1985 - Alvaro Negredo anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Man City, Sevilla, Valencia na sasa yupo Middlesbrough.
Asante Madame kwa neno la Dominika ya 20 ya mwaka A,ubarikiwe sanaTupate neno kidogo
MASOMO YA MISA, AGOSTI 20, 2017
DOMINIKA YA 20 YA MWAKA A
SOMO 1
Isa. 56:1, 6-7
Bwana asema hivi, Shikeni hukumu, mkatenda haki; kwa maana wokovu wangu u karibu kuja, na haki yangu kufunuliwa. Na wageni, walioandamana na Bwana ili wamhudumu, na kulipenda jina la Bwana, kuwa watumishi wake; kila aishikaye sabato asiivunje, na kulishika sana agano langu; Nitawaleta hao nao hata mlima wangu mtakatifu, na kuwafurahisha katika nyumba yangu ya sala; makafara yao na dhabihu zao zitakubaliwa juu ya madhabahu zangu; kwa maana nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote.
Neno la Bwana... Tumshukuru Mungu.
WIMBO WA KATIKATI
Zab. 67:1-2, 4-5, 7 (K) 5
(K) Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Mungu na atufadhili na kutubariki,
na kutuangazia uso wake.
Njia yake ijulikane duniani,
wokovu wake katikati ya mataifa yote. (K)
mataifa na washangilia,
naam, waimbe kwa furaha.
Maana kwa haki utawahukumu watu,
na kuwaongoza mataifa walioko duniani. (K)
watu na wakushukuru, Ee Mungu,
watu wote na wakushukuru.
Mungu atatubariki sisi;
miisho yote ya dunia itamcha Yeye. (K)
SOMO 2
Rum. 11:13-15, 29-32
Nasema na ninyi, mlio watu wa Mataifa. Basi, kwa kadiri nilivyo mtume wa watu wa Mataifa. Basi, naitukuza huduma iliyo yangu? Huenda nikapata kuwapatia wivu walio damu moja na mimi na kuwaokoa baadhi yao. Maana ikiwa kutupwa kwao kumeleta upatanisho kwa ulimwengu, je! Kukubaliwa kwao kutakuwa nini kama si uhai baada ya kufa. Kwa sababu karama za Mungu hazina majuto, wala mwito wake. Kwa maana kama ninyi zamani mlivyomwasi Mungu, lakini sasa mmepata rehema kwa kuasi kwao; kadhalika na hao wameasi sasa, ili kwa kupata rehema kwenu wao nao wapate rehema. Maana Mungu amewafunga wote pamoja katika kuasi ili awarehemu wote.
SHANGILIO
Mdo. 16:14
Fungua mioyo yetu, Ee Bwana, Ili tuyatuze maneno ya Mwanao.
Aleluya.
INJILI
Mt. 15:21-28
Yesu aliondoka huko, akaenda kando pande za tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo. Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu. Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akamsujudia, akisema, Bwana unisaidie. Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani pa bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.
Madame S
Amen[emoji524] Ee Mungu unirehemu sawasawa na fadhili zako, kiasi cha wingi wa rehema zako, uyafute makosa yangu.
Unioshe kabisa na uovu wangu unitakase dhambi zangu
Maana nimejua mimi makosa yangu na dhambi yangu i mbele yangu daima [emoji524]
ZABURI 51:1-3
NA HILI NDIO NENO LA BWANA LA LEO MBARIKIWE SANA MUWE NA JUMAPILI NJEMA NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU [emoji120]
Vitoroli vya Pombe vinavyorukaruka angani kumbe vinadaiwa
Inasikitisha kumwona mtu kajibanabana miaka kadhaa kajenga nyumba kisha tingatinga linakuja kuivunja kwa dakika kadhaa tu
Eti vitoroli [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Vitoroli vya Pombe vinavyorukaruka angani kumbe vinadaiwa
Bongo raha sana
Polifix 4 eerthing
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Mimi huwa nawashangaa watu wanaofuata barabaraInasikitisha kumwona mtu kajibanabana miaka kadhaa kajenga nyumba kisha tingatinga linakuja kuivunja kwa dakika kadhaa tu
Heri kujenga porini kuliko karibu na barabara !!!
......
Hbr ya kuamka baba wawiliMorning too
[emoji120] [emoji120] [emoji120] Asante madame S kwa ibada ya misa,Mungu akubarikiTupate neno kidogo
MASOMO YA MISA, AGOSTI 20, 2017
DOMINIKA YA 20 YA MWAKA A
SOMO 1
Isa. 56:1, 6-7
Bwana asema hivi, Shikeni hukumu, mkatenda haki; kwa maana wokovu wangu u karibu kuja, na haki yangu kufunuliwa. Na wageni, walioandamana na Bwana ili wamhudumu, na kulipenda jina la Bwana, kuwa watumishi wake; kila aishikaye sabato asiivunje, na kulishika sana agano langu; Nitawaleta hao nao hata mlima wangu mtakatifu, na kuwafurahisha katika nyumba yangu ya sala; makafara yao na dhabihu zao zitakubaliwa juu ya madhabahu zangu; kwa maana nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote.
Neno la Bwana... Tumshukuru Mungu.
WIMBO WA KATIKATI
Zab. 67:1-2, 4-5, 7 (K) 5
(K) Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.
Mungu na atufadhili na kutubariki,
na kutuangazia uso wake.
Njia yake ijulikane duniani,
wokovu wake katikati ya mataifa yote. (K)
mataifa na washangilia,
naam, waimbe kwa furaha.
Maana kwa haki utawahukumu watu,
na kuwaongoza mataifa walioko duniani. (K)
watu na wakushukuru, Ee Mungu,
watu wote na wakushukuru.
Mungu atatubariki sisi;
miisho yote ya dunia itamcha Yeye. (K)
SOMO 2
Rum. 11:13-15, 29-32
Nasema na ninyi, mlio watu wa Mataifa. Basi, kwa kadiri nilivyo mtume wa watu wa Mataifa. Basi, naitukuza huduma iliyo yangu? Huenda nikapata kuwapatia wivu walio damu moja na mimi na kuwaokoa baadhi yao. Maana ikiwa kutupwa kwao kumeleta upatanisho kwa ulimwengu, je! Kukubaliwa kwao kutakuwa nini kama si uhai baada ya kufa. Kwa sababu karama za Mungu hazina majuto, wala mwito wake. Kwa maana kama ninyi zamani mlivyomwasi Mungu, lakini sasa mmepata rehema kwa kuasi kwao; kadhalika na hao wameasi sasa, ili kwa kupata rehema kwenu wao nao wapate rehema. Maana Mungu amewafunga wote pamoja katika kuasi ili awarehemu wote.
SHANGILIO
Mdo. 16:14
Fungua mioyo yetu, Ee Bwana, Ili tuyatuze maneno ya Mwanao.
Aleluya.
INJILI
Mt. 15:21-28
Yesu aliondoka huko, akaenda kando pande za tiro na Sidoni. Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo. Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu. Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Naye akaja akamsujudia, akisema, Bwana unisaidie. Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani pa bwana zao. Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.
Madame S
Karibu tenaHodi kwa Mara nyingine mapapuku
Karibu tena
Kwema lakiniAsante sana mkuu.