Makapuku Forum


Wanasayansi huliita tunda hili mfalme wa matunda duniani kutokana na kuwa na kazi nyingi mwilini kuliko matunda yote

Ukiacha kuukinga mwili na kemikali hatari na kuweka kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mengi sana
Sifa kuu ya tunda hili ni pamoja na kumfanya mtu kutokuonekana mzee hata kama umri wake ni mkubwa mno
 

master wa mboga zote duniani

Inawezekana unakula mboga nyingi sana ukiamini unapata kila kitu kupitia mboga hizo!!
Lakini nikuambie kama hutumii hii mboga uanze kujitathimini

Kama ilivyo kwa parachichi hii pia ni mfalme wa mboga zote duniani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…