Makapuku Forum

Leo katika Historia

2008 - Rais Pervez Musharaf wa Pakistan, analazimishwa kujiuzulu wadhifa wa Urais wa nchi hiyo.

Licha ya kuwa Rais, pia alikuwa ni Jenerali katika Jeshi la Nchi hiyo.
Aliingia madarakani mwaka 2001
Alifanya hivyo ili kuepuka kuwajibishwa na bunge vote impreachment kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye Vote of no confidence achana na kibunge chetu uchwa kinayoona Rais ni mungu mtu na kumpa kichwa ingawa ana bichwa kubwa lenye ngeu

Hivyo Pervez alijiuzulu kulinda heshima yake
........
 

Duh miaka 84 sio haba Mzee wa kutupia
......
 


Kipara ni dalili ya upungufu wa akili ? - …: Anko Cambiasso alitisha
......
 

Leicester ya sasa haina tofauti na Njombe Mji Yupo vizuri kwenye free kick
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…