Makapuku Forum

Mwanamke gani atakaetaka kuumizwa aisee
 
3/ jana tulipata kumfaham mtu mwenye masharafa marefu zaidi duniani leo nakujuza mtu mwenye ndevu a.k.a mzuzu ndefu duniani



Anaitwa Sarwan Singh, aishiye Canada, ndevu zake zina urefu wa 2.495 m (8 feets)

Zilipimwa huko Surrey, British Columbia, mnamo tarehe 8 September 2011

Ndevu zake hupimwa mara kwa mara ambapo tarehe 4 March 2010 zilipimwa na kua na urefu wa 7 ft na alipopimwa tena September 2011 huko United States of America zilionekana kurefuka zaidi

Anasema bila ndevu zangu, najihisi niko mtupu na najiona sio mimi bali ni mtu mwengine

Madame S
 
Domokaya
Sufuria la chooni

Hamorappa na Chibu hawaoni ndani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
 
Huyu labda apate mlemavu mwenzie
 
Too much is harmful

Kikiwa kidogo sana shida
Kikiwa kikubea sana shida
Wastani ndio mpango

Shunie anapenda hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…