Shunie..T nakupenda ujue roho ya dada angu ungekua karibu ningekuja kukuhug tu ujue
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Tucheke kidogo
Madame S
Ha ha ha ha ha haHahaha
Kwa nini utake babu awe Naymar wa Tanga
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85] [emoji85] hili pepo la kwenye ndizi tu lishindwe jamaan ujue ni ndizi na makande ndio nakuwa hivi nakula mara kumi kumi [emoji125] [emoji125]
AmeeenHallelujah [emoji119]
Hapana babu kama nimekosea sina budi jaman kukuomba msamaha babuHuna sababu ya kuomba msamaha mjukuu wangu... Mimi babu yako ujue
Upendo UpendoAmri kuu aliyotoa Yesu kwa wanafunzi wake.. ni Upendo.
Wasambaa hao
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wooooooozaaaaaaa nipo mbele kabisa na kimini changu cha kitenge
WoooiiiBasi akunywe beeereeee tu au dompo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85] [emoji85] dada nijibu basi kilienda kusafishwa me nakupenda tuuuuuuuuuHahaha
Nimecheka mpaka baaasii... Yaani wewe Nakupenda bure
Kuna lugha ameitumia nimeizoea kuisikia kwa watu wa Bukoba.Hana asili yoyote ya huko kwa nini babu
Naambie Roho yangu..Hapo kuna shida ujue... T ukuje
Ndioo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]T huyu atakumpiga ujue unaweza [emoji125] [emoji125]
Dada mwambie ampe salam zangu trump jaman amwambie nipo bongo bahati mbayaAiseeee
Beeereeeee ndio mdudu gani?Sasa humtaki T huyu unataka T yule wa beereeeee eenh
SawaaaaKwakweli me nitavaa kimini msinitanie aisee
NakupendaAiseeee
Mko wachache T wanaume wa aina yako jaman Mungu azidi kumuwekea dada angu T wake jamanShunie..
Nimekuwa katika upendo wa wazazi..
Nimelelewa katika upendo huo huo ..
ila niliambiwa pia na nidumishe upendo...
So i am trying to do what i was told..
[emoji85] [emoji85] [emoji85] kweli dada yaan hivyo vyakula sishibi jamaan [emoji125]Hahaha
Makande teeenaaa...