10/Squirrel
Kwa kiswahili wanaitwa Chindi
Hawa wanyama ni wa kundi la Mammalia yaani wana matiti ya kuringia kama mademu zetu
Wanapatikani barani Ulaya,Asia,Australia,Amerika na Afrika
Wapo chindi wa aina nyingi ..kuna wanaokaa mitini kama nyani,kuna wanaotamba ardhini kama sungura vile halafu wapo wanaopaa kama popo
Wana uwezo wa kuishi hadi miaka 18
Ni wanyama mbumbumbu kama tabia yao ya kulalalala
9/Treeshrew
Wanafanana na panya
Sijui kwa kiswahili cha Tuki wanaitwaje
Wanapatikana kwa wingi kwenye misitu yavkitropiki huko Kusini Mashariki mwa bara la Asia
Hawa wanyama pia ni mamalia hivyo kunyinyesha kwao ni starehe
Hawa treeshrew wapo wa aina zaidi a 20