Morng to u ndugu zangu, mko poa, ntapotea kwa week km 3 hadi 4 hv, tuombeane uzima na uhai tu, nikiibuka nadhan ntakuwa nimeibukia tabora trascend ntakuchek broo nikiwa huko nawatakia kila la kheri, afya, uzima, baraka zake muumba, na mfanikiwe katika mihangaiko yenu.. nawapenda wooote..
Tycoon MAKAVELI Jr.