Makapuku Forum

Namba 5

Jonathan James.

Huyu alikuwa mtu wa kwanza kufungwa akiwa na miaka 16 kwa kosa la Cyber-attack.

James alishambulia kwa muda tofauti Idara ya ulinzi ya inayouhisika masuala ya silaha za maangamizi (DTRA) Defense of Threat Reduction Agency ya marekani na kupakua mafaili mengi ya siri.

Aliiba passwords na kupakua emails nyingi, mwisho kabisa akaamua kuiba Software za DTRA.

Alifahamika sana kwa jina la Comrade.

James the Comrade aliifanya NASA ifunge Mitambo yake na kumlipa USD 41,000 .

Aliamua kujiua baada ya polisi kufika kwao kufanya searching.


 
Why alijiua sasa

Madame S
 
Pia watu waelewe umri wa miaka 16 kwa nchi zingine tayari unakuwa ni mtu mzima sasa siyo mtu una miaka 17 uende nchi za watu ukafanye uhalifu ukidhani wewe ni mtoto !!
Sheria zinatofautiana nchi na nchi kwa wenzetu baadhi mtoto ni mtu mwenye umri chini ya miaka 15

Utafungwa !!!
........
 
Namba 4.

Mathew Bevan na Richard Pryce

Hawa ni raia wa kiingereza . Hawa wataalamu wa computer walifanya udukuzi kwenye computer za serikali kubwa hasimu duniani.

Walifanikiwa kufanya uvamizi na kuweka virus kwenye computer za jeshi la marekani .

Walishavamia computer za Nato, na Lockheed kampuni ya kutengeza holicoputer za kijeshi.

Hawa jamaa alimanisura waazishe vita ya tatu ya dunia baada ya kuchukua mafaili ya Mitambo ya tafiti za Nyuklia za korea kaskazini na kuzituma kwenye kumputer za jeshi la marekani na wakati huo huo kuchukua Faili za staili hiyo za korea kusini na kuzituma nchini marekani.

Pia waliiba mafaili ya UFOs kwenye maabara za jeshi la marekani.

Baadaye walikamatwa .

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…