Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Nakumbuka sana shemela ulitaja sinzaHapana bana nilisema tu shopping mahakama ya ndizi shemela sijataja sehemu
Bado unayo?Unayajua moyoni mwako
Wamepigwa kwa tofauti ya penalt mojaWamepigwa
Wekundu wa msimbazi(in kubana puaz voice n pozi)
Tycoon MAKAVELI Jr.

Mi sina ila weweBado unayo?
Mmh ila nimeshaama nipo mbezi temboniNakumbuka sana shemela ulitaja sinza
DuuuWee koma wee mtoto wa kike ulikesha na nani!!
Naenda kusema kwa mama unasingizia kuwa ulikesha na mim..![]()
![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.
Sasa mimi kama sikumtetea mjukuu wangu ntakuwa babu wa Kivipi?Mi sina ila wewe
NjooUnacheka eeh?
Nimemiss...
Babu eenh hizo mambo naomba ziishe jamanSasa mimi kama sikumtetea mjukuu wangu ntakuwa babu wa Kivipi?
Haya bwana. Endelea kumtetea, mi sina tatizoSasa mimi kama sikumtetea mjukuu wangu ntakuwa babu wa Kivipi?
HahahaAngalia maneno yako Husna..
Kishwahili hakijitoshelezi ...!
Si mtu na bae wake watakua wameambizanaHahaha
Watu wana utani na wewe
Mxiuuuu zaooSi mtu na bae wake watakua wameambizana
Kwani mimi mjukuu wangu.... Ni huyu anayejiita mke mwenzio.Babu eenh hizo mambo naomba ziishe jaman
Topic closed ongeeni mengineKwani mimi mjukuu wangu.... Ni huyu anayejiita mke mwenzio.