Makapuku Forum

Same to you kwa baby wako
 
Aisee...

Hiyo mambo ya kuchapwa nilichapwa sana...! Ila ikashindikana..! Matokea yake natumia left kila kitu ila kurusha jiwe ni mkono wa kulia..[emoji3][emoji3]

Chakula nakula na mkono wowote ! Utakaoanza Twende kazi [emoji3][emoji3].

Ila sishauri kuchapa watoto wakitumia left.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…