Makapuku Forum

International Left-Handers Day.

Namba 5,

Asilimia kubwa ya left-handers wana hatari ya kupata magonjwa ya akili.

Hili pia sio jambo geni masikioni mwa watu ambao wamekuwa wakijihusisha na watu wa aina hii. Asilimia 30% ya watu hawa huweza kupatwa na magonjwa ya akili kama schizophrenia, dyslexia, au ADHD.

Haya magojwa akili sio kichaa, ila kubadilika kwa tabia za mtu na uhalisia,mengi ynakuwa ni matatizo ya kisaikolojia. vingi vinahusiana na emotions na feelings. Mfano wa dyslexia ni, left handers anaweza kuchukua muda kujua kufanya kazi ambayo inshikirisha ubongo wa kushoto na kulia kwa wakati mmoja. eg, kuendesha gari za manual transmission.
 

Attachments

  • 4.jpg
    7.7 KB · Views: 17
  • 11.jpg
    7.1 KB · Views: 18
  • binladen_16.jpg
    5.4 KB · Views: 19
  • d58f346f932eea4e7efea8d73c4570ec0f90984a.jpeg
    36.1 KB · Views: 20
  • t.jpg
    8.4 KB · Views: 17
Nipo makini sana mdogo angu anatumia left hand
 
Duuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…