makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,443
- 108,490
Maisha hayana formula, ishi kwa principle zako unazoziamin, usijaribu kuiga kwa mwingine sababu yeye anaishi maisha yake na si yako.. ukiiga umefeli, maisha ni mtihani sasa ukicopy na kupaste utaumia tu cz yawezekana maswal yaliyo kwenye pepa yako c yaliyokuwepo kwenye pepa yake..DID YOU KNOW?!
NshamuwekaMke mweee mr.x vp
[emoji134] [emoji134] [emoji134]We nawe chaunababe nawe.. namsingizia wapi wakat umeona kabisa ananiombea mie izrael anifanyie kazi, wacha ushanshuda..
[emoji124] [emoji124] [emoji124] nmegundua wengi humu hawanipendi, mtu anafurahia mie nivute kweli, nawe unashadadia, naleta unaa mie nkufee..kweli.. [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Michakato inaendajeFresh tu ndugu yangu, namshukuru mwenyez mungu..
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Inaendeleaaaa. ....
Wee binti ww, unanisakama sana..Muulize huyo ndugu ake na bitoz
Madame S
Kolasinic kweli jamaa yuko vizuri kuanzia mechi na chelsea ...kiungwana futen ile kauli ya kwamba mlimchukua bureeeeeTimu ilikuwa na upungufu mkubwa kwenyesafu ya ulinzi.. holding bado, monreal ile si nafas yake, kwa soka lile km mustaf akirud na koncienly itakuwa safi sana, kolasinic kaongeza kitu fulani kule kwenye ukuta, kla ingependeza kama akiongeza midfielder moja elneny bado kidogo, labda arud cazorla au jack wilshere.. welbeck homa ya vipindi kama waingereza wengine.. lacazzete anafaa anashiriki kwenye mchezo mzima, anakabia juu, anaparticipate kwenye kucheza na kushambulia pia.. wenger anakila sababu ya kumuongeza mkataba ox chamberlain..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Wacha nikufee tuu... [emoji24] [emoji24] [emoji124] [emoji124][emoji134] [emoji134] [emoji134]
Basi usikufe wajameni
Endelea tu kufukua utakuja kuona mpaka ninaokwambia..