Mungu ampumzishe alipopachagua alipokua hai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] g'wizukulu jilala matunge au Dr limbe
Aliishi mbagala zakhem but ofisi yake ilikuwa mbagala kizuiani
Alimuoaga msanii Nuru nasor(Nora) wakazaa mtoto mmoja Wa kiume kisha wakaachana
Baadae Dr limbe akaaga dunia kwa ajali ya gari iliyotokea huko Angola
Ila mi nililipenda hili jina lake tu(ng'wizukulu jilala matunge) baasi
Ohoooo....huko mi simo saasaNimemkosea nn had anipige??
Madame S
Utakuwemo tu maana we ndio umesema nisubiri kipigoOhoooo....huko mi simo saasa
[emoji1] [emoji1] kawaida mamy ucjalYani unanfrahisha na maneno yako
Madame S
Namshukuru MunguSafi sana eden za wewe
Pole wee unakosa uhondo ujue[emoji4] [emoji4]Jaman njugumawe sizipendi [emoji134]
Nipo fresh N vipUko poa
Madame S
Lugha gani hio.Itakuwa poa tu babu uskonde wala
Km VP mzuka tu mwororoooo
Pamoko mkameme
Heri yako umekuwa mkweli.Babu msamehe huyu dogo hajui alitendalo
Mi mwenyewe nishaumizwa Mara kibao tu
Hizo mbaazi hapana jamanPole wee unakosa uhondo ujue[emoji4] [emoji4]
Unajua tu mkianza kutaka kufahamianaNajiuliza tu humu jf unajuaje huyu ni mwanamke kweli au mwanaume kweli[emoji40] [emoji40]
Maana watu wa dunia wamebadilika sana
Poa Sakayo wako hajamboNzuri ...
Mambo ya weww mama jj
MkushiiiiNipo fresh N vip
Swalamaaa D hajamboPoa mke mwee za wewe
D hajambo mke mwee sijui wenzie wakina jjSwalamaaa D hajambo
SawaJichekee tu mke mwee
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nishakuwa muhenga mie mke mwee nimewaachia nyie vijana mambo ya kutongozwa
Sawa kumbe atatuletea mrejeshoWeeeweeee sio Mimi ni madam s huyooo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Jaman njugumawe sizipendi [emoji134]