Makapuku Forum

Ila ni kosa kuruhusu mapenz yakukontroo.. sijui wenzangu ila mie siwez, nshajiwekea msimamo na principle zangu. So hayanipasui kichwa japo kale kanafs kakuuma hakakosekani ila muda mchache mnoo..
Kuuma lazima uumie maka uzuri Mungu kaumba kusahau bada ya siku mbili tatu unasahau hayo ndio mapenzi jaman kuumia utaumia na kusahau utasahau kabisaaa yaan itafikia hatua unajiuliza hivi mimi ndio nilikua na yule au mimi ndio nilikuwa wa vile
 
Sex and love are two separate things
Hv kwann uumie kwa mtu ambae ameshindwa kukujali, kukuthamin wala kukuheshimu mie naonaga uwendawazim.. mtu ashindwe kuthamin upendo unaompa halaf eti uumie..

Principle yangu kubwa sijaweka upendo mbele mie naamin sijui kupenda ila natoa nnachopata.. km atanipa upendo 100% mie ntampa same, akitoa 12 natoa 12 au chin kidogo.. 50 kwa 50, labda huyu wa 100% ndio aniumize lakin kiuhalisia hakuna wa 100 kajitahd 70 au 80.. so ukichukulia hvyo kidogo kidogo kwiva, mie mtu kadri anavyonikosea ndio thaman inashuka, nikikuta kamesej thaman inashuka halaf mie si mzungumzaji, naishia kudharau, kwahyo atakuwa anakuja napiga mbupu, tunatoka sehem mbali mbali ila mie moyon hayumo, sasa siku likitokea kubwa inakuwa si ishu sana, tayar moyon nafas yake ishakuwa finyu.. nafuta namba maisha yanasogea.. km mpira vile wa goalkick naanza moja, so hatoweza kuona chuki wala kusikia tusi kutoka kwangu thats y wengi tulioshindwana still story zipo pale pale.. anakaa kikimuwasha anakukumbuka..

Ukiyaweka sana moyon unaweza kufaa.. acha moyo usukume damu mkuu.. be brave, be strong, be positive..
 
Hapa nimekuelewa sana maka kama mtu anakupenda sana na kukuthamini unaonyesha upendo ule ule ukiona humuelewi unaenda nae hivyo hivyo asante sanaaa
 
Kuuma lazima uumie maka uzuri Mungu kaumba kusahau bada ya siku mbili tatu unasahau hayo ndio mapenzi jaman kuumia utaumia na kusahau utasahau kabisaaa yaan itafikia hatua unajiuliza hivi mimi ndio nilikua na yule au mimi ndio nilikuwa wa vile
Kuuma itauma ila inategemea na wewe unaruhusu maumiv yapenye kwa kiwango kipi.. ukiendekeza unaumia kweli unaweza hata kufa.
 
Hapa nimekuelewa sana maka kama mtu anakupenda sana na kukuthamini unaonyesha upendo ule ule ukiona humuelewi unaenda nae hivyo hivyo asante sanaaa
Ewwahh.. swadakta

Eehh.. inaitwa kukokotana style, huwez kulipenda jitu halielewek we unalijali lenyewe halina mpango, unafunga safar mpaka kwao ushachoma mafuta anakwambia sijiskii poa, huo si ni uwendawazi..
 
Ni kweli kabisa maka kikubwa inabidi ujicontrol tu mwenyewe na hali yako au na maumivu yako kama unayo woiiiii mapenzi jamaan kwa nini lakini
Na hakuna kosa kubwa kama adui yako kuliona choz lako.. usimuoneshe kama unaumia kwa mambo yake ya ajab umekwisha, anavimba bichwa hiloo kama dumu la lita 5
 
Umeamua kutapika kabisa ..


Aisee..
 
Ewwahh.. swadakta

Eehh.. inaitwa kukokotana style, huwez kulipenda jitu halielewek we unalijali lenyewe halina mpango, unafunga safar mpaka kwao ushachoma mafuta anakwambia sijiskii poa, huo si ni uwendawazi..
Kweli kabisa ila tupo tofauti jaman wengine tukiamua kupenda tunaingiaga mazima jaman
Mungu atusaidie tu
 
Aiseee Makaveli asante sana jaman
umenipa nguvu halaf anaweza akakufanyia vituko flani hivi na anajua hupendi na unaumia
Yeeah.. anafanya wala hajali maumiv yako, kadri unavyoumia yeye roho yake kwatu, tena anaweza kwenda kwa wenzake mashoga au washikaj zake na akajisifi yule demu/mshikaj kafika, kuna hiki hiki na hiki,jana kalia si mchezo..

Ushawah kumuona afande kamkamata mtu au mjeda.. vile mtu anavyohenyeka yeye kwake burudan kabsa, akikwambia simama, kaa.. ukiwa unalalamika afande nionee huruma sijui nna ngiri sijui kibofu kibov ndio kwanza anaona sifa maumv yako kwake ni sifa, ni same kwenye mapenz wapuuz wengi wasiojua maana ya mahaba ndio wanaona ujanja wenyewe..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…